Skip to main content
Skip to main content

Siasa za 2027: Jamii ya Mandera kubuni kikosi cha mwongozo wa kisiasa

  • | KBC Video
    696 views
    Duration: 3:03
    Baadhi ya wataalam, baraza la wazee na viongozi kutoka kaunti ya Mandera, wameahidi kuunda kikosi ambacho kitatoa mwongozo wa masuala ya kisiasa katika kaunti hiyo. Wakiongozwa na aliyekuwa seneta wa kaunti hiyo , balozi Mohamed Maalim Mahmud ambaye anadhamiria kuwania kiti cha ugavana kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027 wanasema kuwa hawatatilia maanani chama bali mbinu za kukabiliana na matatizo yanayowakumba wakaazi katika kampeni zao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive