Skip to main content
Skip to main content

Siasa za chaguzi ndogo kaunti ya Kakamega

  • | Citizen TV
    240 views
    Duration: 1:20
    Gavana wa kakamega Fernandes Barasa amewataka wakazi wa kaunti hiyo kuendelea kuiunga mkono serikali ili waendelee kuletewa miradi ya maendeleo. akizungumza katika mazishi ya mama Anjelina Ajwang Otunga ambaye ni mamake waziri wa biashara na utalii wa kaunti hiyo Saxon Kweyu, katika shule ya msingi ya Itete, Barasa alisema kuwa chaguzi ndogo zilizopita ziliashiria kuwa serikali ya kenya kwanza itashinda katika uchaguzi mkuu wa 2027.