Skip to main content
Skip to main content

Siasa za UDA Kwale

  • | Citizen TV
    403 views
    Duration: 1:56
    Gavana wa kaunti ya Kwale, Fatuma Achani ametangaza kuwa viongozi kutoka kaunti hiyo wameungana kuunga mkono chama cha (UDA), hatua hio ikiashiria mabadiliko ya misimamo ya kisiasa huku uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 ukikaribia.