- 7,589 viewsDuration: 1:27Chama cha ODM kimemng’atua madarakani katibu mkuu wake Edwin Sifuna, katika mabadiliko ya uongozi yaliyoafikiwa na kwenye mkutano wa kamati kuu ya kitaifa ya chama hicho mjini Mombasa. Uamuzi wa chama hicho unafuatia tetesi kuhusu masuala ya nidhamu katika usimamizi wa chama hicho. Mwakilishi wa wanawake bungeni wa kaunti ya Busia Catherine Omanyo atachukua wadhifa wa kaimu katibu mkuu wa chama hicho, huku chama cha ODM kikiashiria mabadiliko makubwa yatatekelezwa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive