Siha na Maumbile | Tatizo la mzio wa macho au allergy

  • | Citizen TV
    787 views

    Katika makala ya siha na maumbile, hii leo Juliet Kabugi ambaye ni mtaalamu wa magonjwa ya macho katika kituo cha matibabu cha Equity Afia Narok, anaeleza mengi kuhusu tatizo la mzio wa macho.