| SIHA NA MAUMBILE | Ugonjwa wa 'Gout' unaoathiri viungo

  • | Citizen TV
    287 views

    Kwenye siha na Maumbile juma hili, Daktari Newton Muchiri wa kituo cha matibabu cha equity afia kinoo anaeleza mengi kuhusiana na ugonjwa wa (Gout), ugonjwa ambao unaathiri viungo vya mwili na kusababisha maumivu makali. Huku wengi wakiuhusisha ugonjwa huo na ulaji wa nyama kwa wingi, daktari anafananua kuhusu dhana hiyo, Pamoja na madhara ya ugonjwa huo na namna ya kuudhibiti