Siha Na Maumbile | Wanaume wengi wa umri mkubwa hupata Saratani ya tezidume

  • | Citizen TV
    787 views

    Umri wa binadamu umeonekana kuchangia kwa kiwango kikubwa kuimarika ama kuodhoofika kwa afya. Ugonjwa wa Saratani ya tezi dume ukitajwa kama mojawapo ya magonjwa yanayochangiwa na umri mkubwa kwa wanaume