Skip to main content
Skip to main content

Siku kuu ya Mashujaa itaandaliwa katika eneo la Ithookwe, Kitui

  • | Citizen TV
    332 views
    Duration: 51s
    Siku kuu ya Mashujaa itaandaliwa katika kaumti ya kitui tarehe 20 mwezi ujao. Tayari kaunti hiyo imeanza kushuhudia mabadiliko kupitia ukarabati wa muundomsingi huku umeme, maji, na huduma za serikali zikiimarishwa kwa wakaazi.