Siku ya Fimbo Nyeupe inaadhimishwa kote duniani

  • | Citizen TV
    323 views

    Huku watu wanaoishi na ulemavu wakisherekea siku ya fimbo nyeupe inayowasadia walemavu wasioweza kuona, mashirika mbali mbali yanaitaka serikali kushirikiana nao kuwawezesha wanaoishi na ulemavu huo kupata fimbo hiyo pamoja na mafunzo kwa urahisi