Siku ya idadi ya watu yaadhimishwa Garissa

  • | Citizen TV
    205 views

    Huku siku ya idadi ya watu ukisherehekewa kote ulimwenguni hii leo, imebainika kuwa katika kaunti ya Garissa idadi ya watoto waliotelekezwa na wazazi wao inazidi kuongezeka kutokana na hatua yao ya kudinda kutumia njia za kupanga uzazi.