Siku ya kondomu duniani | Visa vipya vya maambukizi vyazua hofu

  • | KBC Video
    16 views

    Huku visa vya ugonjwa wa UKIMWI vikiendelea kuongezeka hapa nchini, serikali imehimizwa kushughulikia uhaba wa mipira ya kondomu unaoshuhudiwa nchini kwa sasa. Wadau katika sekta ya elimu wanasema huenda changamoto hiyo ikaongeza visa vya ugonjwa huo hususan miongoni mwa vijana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #sikuyakondomuduniani #News