Siku ya Wahandisi Duniani yaadhimishwa

  • | KBC Video
    11 views

    WaKenya wametakiwa kutafuta huduma za wahandisi wenye leseni na walio-idhinishwa wakati wa uchoraji wa nyumba na utekelezaji wa miradi mbali-mbali; ili kuepusha visa vya nyumba kuporomoka. Wakiongea kwenye hafla tofauti za kuadhimisha siku ya kimataifa ya wahandisi, wahandisi hao walisema ni jambo la kuhuzunisha kuona watu wakipoteza maisha yao wakati nyumba na madaraja yanapoporomoka kwa sababu ya kuhusishwa kwa wahandisi bandia. Maudhui ya sherehe za mwaka huu ni “Uhandisi kwa mijanili ya ulimwengu endelevu”

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #engineers