'Sikuwahi kuona jambo lolote baya kwake'

  • | BBC Swahili
    404 views
    Kaka yake na Mchungaji wa kanisa lenye utata nchini Kenya Paul Mackenzie anasema kwamba kaka yake alikuwa "mtu mwema" na mfano kwa jamii yake labda kama alibadilika baadaye. Paul Mackenzie anadaiwa kuwahimiza wafuasi wake kufa njaa. Zaidi ya miili 200 kufikia sasa imetolewa katika msitu wa Shakahola nchini Kenya huku wengine zaidi ya 600 wanaoripotiwa kuwa washiriki wa ibada ya siku ya mwisho bado hawajulikani walipo. Mchungaji Mackenzie kwa sasa yuko chini ya ulinzi wa polisi. #bbcswahili #kenya #shakahola