- 1,912 views- "Simba ajiandae kutoka, abakie Mwakarobo, tuendele kubakia na lile jina, na pale Mwakarobo hawezi kutoka, ni Mwakarobo, nusu haiwezekani, Simba uwezo hana." - Katika soka la Tanzania, majibizano ya mashabiki wa Yanga na Simba si jambo geni, lakini jina la "Mwakarobo" limejikita zaidi katika simulizi ya maumivu ya mara kwa mara ya Simba kutolewa kwenye hatua ya robo fainali. Mwakarobo ni jina la kawaida tu la asili ya watu wa Mkoa wa Mbeya, hasa Tukuyu. - Leo tarehe 9 Aprili 2025, Simba itaingia dimbani Benjamin Mkapa kurudiana na Al Masry, ikiwa na lengo moja: Kufuta jina hilo kwa nguvu ya mabao, kushinda kwa zaidi ya mabao matatu na kuvuka hadi nusu fainali ya tatu katika historia yao ya mashindano ya Afrika. Je, safari hii itafanikiwa kuivunja laana ya Mwakarobo? - - - #simba #simbasctanzania #mnyama #tanzania #kandanda #bbcswahili #MICHEZOSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Simba vs Al Masry : Je, Simba ya Tanzania itaivunja laana ya Mwakarobo?
- 7 Aug 2025 - Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
- 7 Aug 2025 - Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
- 7 Aug 2025 - A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
- 7 Aug 2025 - The late MP was a trailblazer on many fronts.
- 7 Aug 2025 - The operation was a joint effort between police and KWS.
- 7 Aug 2025 - The arrests were made during an operation on Wednesday night.
- 7 Aug 2025 - CBK is expected to respond to the bankers' request next week on Tuesday.
- 7 Aug 2025 - They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
- 7 Aug 2025 - The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
- 7 Aug 2025 - By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project