Simulizi ya Binti wa miaka 19 mkimbizi kutoka Congo alivyotekwa na waasi

  • | BBC Swahili
    424 views
    Akiwa na miaka 13 Kijiji cha Noella kilivamiwa na kundi la waasi, katika harakati za kukimbia akaishia mikononi kwa waasi hao na kupelekwa katika makazi ya kundi hili eneo la msituni ambapo aliolewa na kiongozi wa waasi. Alifanikiwa kutoroka, lakini baada ya hapo maisha yake yalikuwaje? Mwandishi wa BBC Peter Mwangangi alikutana nae na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #kenya #wakimbizi