"Sitoshi tena kwenye nafasi yangu." Waziri Mkuu New Zealand

  • | BBC Swahili
    618 views
    Jacinda Ardern atajiuzulu Uwaziri Mkuu wa New Zealand kabla ya uchaguzi wa mwaka huu, akisema hana "uwezo" wa kuongoza. Alitoa hotuba yenye hisia akisema, "Mimi ni binadamu... Na kwangu, huu ndio wakati". Akiwa mama mwenye familia, alikuwa mwanamke wa kwanza kiongozi duniani kwenda na mtoto mchanga kwenye mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York. #bbcswahili #Newzealand #Jacindaarder