Sokwe mtoto aliyesafirishwa kimagendo kurudishwa Nigeria

  • | BBC Swahili
    2,470 views
    Mtoto wa sokwe aliyezuiliwa mwaka jana katika uwanja wa ndege wa Istanbul nchini Uturuki wakati walanguzi walipojaribu kumsafirisha kutoka Nigeria kwenda Istanbul, huenda akarejeshwa nyumbani kwao hivi karibuni. - Sokwe huyo anayeitwa Zeytin amekuwa akitunzwa katika Bustani ya Wanyama ya Polonezkoy, ameongezeka uzito na urefu tangu alipopatikana mwezi Desemba. #bbcswahili #uturuki #istanbul Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw