CCM wazindua kampeni zao za uchaguzi mkuu Tanzania

  • | BBC Swahili
    1,661 views
    Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka huu zimeanza rasmi leo, kwa mujibu wa ratiba ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinazindua rasmi kampeni zake Agosti 28, 2025 Mwenyekiti wa CCM na mgombea urais wa Samia Suluhu Hassan, ataongoza uzinduzi huo akifuatana na mgombea mwenza wake, Emmanuel Nchimbi. Mwandishi wa BBC @bosha_nyanje yupo Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam #bbcswahili #tanzania #uchaguzi2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw