'Waliokuwa wanasema utaratibu umekiukwa labda wanajifanya hamnazo'

  • | BBC Swahili
    1,698 views
    'Najua kulikuwepo na maneno au vijineno eti utaratibu umekiukwa na mimi nililaumiwa, nasema waliokuwa wanayasema hayo labda wanajifanya hamnazo' Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho ambapo amesisitiza kuwa uteuzi Samia Suluhu Hassan kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 umezingatia misingi, taratibu, mila na desturi za chama. #bbcswahili #tanzania #uchaguzitz Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw