SoRYAfrica na wanafunzi wa chuo kikuu cha Cooperative waliandaa shughuli ya kufanya usafi

  • | KBC Video
    6 views

    Wadau walioongea wakati wa shughuli hiyo walitoa wito kwa wanasiasa na jumuiya za kimataifa kubuni sera mwafaka pamoja na mikakati itakayoshughulikia changamoto tata zinazoletwa athari za mabadiliko ya hali ya anga.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News