24 Nov 2025 1:18 pm | Citizen TV 762 views Duration: 1:18 Spika wa Seneti Amason Kingi ameongoza kampeni za mgombea wa ODM Harrison Kombe katika uchaguzi mdogo eneobunge la Magarini .