Spika Wetangula apinga uamuzi kuhusu mpango wa nyumba

  • | KBC Video
    429 views

    Spika wa bunge la taifa Moses Wetangula ameelekea mahakamani kupinga uamuzi wa mahakama ya rufaa wa kukataa kuongeza muda wa agizo linaloruhusu makato ya nyumba za bei nafuu . Hatua hii inajiri wakati waandamanajii wanaodai kunufaika na mpango huo wakikita kambi nje mahakama ya Milimani wakisema kuondolewa kwa makato hayo ya nyumba za bei nafuu,kunawanyima ajira.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive