Stephen Munyakho aungana na familia baada ya miaka 14 gerezani Saudi Arabia

  • | Citizen TV
    1,609 views

    Hatimaye, Stephen Munyakho, Mkenya aliyekuwa gerezani akisubiri hukumu ya kifo nchini Saudi Arabia, ameungana na familia yake. Baada ya miaka 14 gerezani akisubiri kunyongwa, Munyakho hatimaye amerudi nyumbani hapa Nairobi.