- 1,112 viewsFursa ya utoaji mimba ni moja ya masuala makuu katika kinyang’anyiro cha urais Marekani mwaka huu. Kampeni ya Kamala Harris inategemea kuunga mkono haki za utoaji mimba kuwasukuma wapiga kura katika uchaguzi wa Novemba, wakati Donald Trump na chama cha Republican wamepunguza ukali wa msimamo kuhusiana na suala hili. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Suala la utoaji mimba latawala kampeni za urais Marekani | VOA Swahili
- - 🔴TV47 Live ››
- 13 Jun 2025 - South Africa rescue teams recovered more bodies Thursday, days after heavy rains and strong winds battered the Eastern Cape province, as the death toll rose to at least 67.
- 13 Jun 2025 - The government has significantly boosted funding for the security sector in the 2025/2026 fiscal year, with the National Treasury allocating Ksh 464.8 billion—an increase of Ksh 87.3 billion from the previous year’s allocation of Ksh 377.5 billion.…
- 13 Jun 2025 - The Nairobi Securities Exchange (NSE) is stepping up efforts to deepen the derivatives market as the bourse plans to improve liquidity, broaden investor access, and roll out new financial instruments amid rising interest in risk management tools. This…
- 13 Jun 2025 - The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has signed a memorandum of understanding (MoU) with the National Youth Council in a move aimed at strengthening the role of young people in the fight against corruption and the promotion of good…
- 13 Jun 2025 - A woman underwent a miscarriage while in custody at the Rwanyambo Police Post in Nyandarua County.
- 13 Jun 2025 - The Central Bank of Kenya (CBK) is urging commercial banks to swiftly lower lending rates in response to the rollout of a revised risk-based pricing model. The reform is expected to improve the effectiveness of monetary policy and ease the burden of…
- 13 Jun 2025 - An Air India Boeing 787 Dreamliner plane with at least 242 people on board crashed in a densely populated residential area close to an airport on the edge of India’s western city of Ahmedabad on Thursday morning. Later on Thursday, the local police…
- 13 Jun 2025 - Government has allocated Ksh. 47.6 Billion in the 2025/26 financial year budget to boost agricultural productivity and enhance food security.
- 13 Jun 2025 - Kenya’s athletics hopes will have to wait a little longer at Kasarani, after the government confirmed the dilapidated track will only be replaced after Chan 2025 leaving top athletes to rely on Ulinzi Sports Complex for key trials and training ahead of…
- 13 Jun 2025 - Kenya’s national football team head coach Benni McCarthy believes his Harambee Stars players are on the right path to success at the CHAN tournament slated for August this year after a promising display in two friendly matches against Chad where young…