- 1,678 viewsKwa zaidi ya miongo miwili, eneo la Darfur nchini Sudan limekuwa kitovu cha vita vilivyoikumba nchi hiyo. Leo, mgogoro huo umebadilika, huku majenerali wawili wa jeshi wakihusika katika mapambano ya madaraka wakitafuta udhibiti. - Rasilimali za thamani za Darfur na njia zake muhimu za biashara zimeifanya kuwa ardhi inayomezewa mate. - Hata hivyo, ghasia za kikabila na maslahi ya kimataifa zimeugeuza ukanda huo kuwa kitovu cha machafuko, ambapo njaa na mauaji ya kimbari yanaendelea kwa mara nyingine tena. 00:01 Utangulizi wa Darfur 01:05 Historia fupi, nani anapigana na imefikaje hapa 02:43 Eneo la kimkakati 08:19 Vurugu za kikabila 12:33 Hali ya kibinadamu 14:50 Athari ya vita mpaka sasa 15:55 Hali ilivyo Sudan kwa sasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Sudan: Vita visivyoisha Afrika vinaelekea wapi?
- - Duniani Leo ››
- 17 Jun 2025 - According to Pastor John Njoroge from PISGHA Academy, the medical camp had come at the right time, as families were undergoing untold suffering.
- 17 Jun 2025 - Jerop's Russian partner told her that his ailing father wanted to meet their one-year-old daughter.
- 17 Jun 2025 - Ruto government had promised to double allocation and raise number of beneficiaries.
- 17 Jun 2025 - Rotten at the top: Inside the deadly secrets of Central Police Station
- 17 Jun 2025 - Embattled Lagat bows to pressure, leaves office
- 17 Jun 2025 - Mukhwana: I was following my boss' orders
- 17 Jun 2025 - How 'Standard' covered the Ojwang' murder
- 17 Jun 2025 - Meeting state force with care: How medics, lawyers and counsellors sprang to action
- 17 Jun 2025 - Power wrangles rock Kaimosi Friends University over VC job
- 17 Jun 2025 - Firm opposes DPP plan to withdraw Sh918m case against businessman