Supkem wazungumzia uteuzi wa mwenyekiti makamishina sita wa IEBC

  • | NTV Video
    296 views

    Baraza kuu la waislamu nchini Supkem limepongeza jopo la uteuzi la makamishna wa tume huru ya mipaka na uchaguzi nchini Iebc kwa kumteuwa mwenyekiti pamoja na makamishina sita ili kuleta uwazi na demokrasia kwenye chaguzi zijazo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya