Taarifa mseto za Biashara

  • | KBC Video
    18 views

    Kenya inatarajia kujiunga kwenye kundi la watengenezaji na wauzaji vifaa vya kielektroniki baada ya kufikia mkataba wa kujenga kituo katika chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha Dedan Kimathi katika kaunti Nyeri. Mwekezaji kutoka Australia anawekeza shilingi bilioni-14.85 kwenye ujenzi wa kituo ambacho kitaanza shughuli zake kati kati ya mwaka ujao. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News