Taarifa Za Biashara

  • | KBC Video
    21 views

    Uchumi unatarajiwa kukuwa kwa asilimia 5.7 kutokana na sekta za kilimo na sekta ya kutoa huduma. Haya ni kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya bunge la taifa kuhusu maswala ya bajeti na makadirio Ndindi Nyoro ambaye pia anaamini kuwa shilingi ya Kenya itasalia kuwa dhabiti kutokana na sera za kifedha zilizowekwa. Kwa hizi na habari nyingine ni katika mkusanyiko ufuatao wa habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive