- 245 viewsDuration: 1:23Kenya haina uwezo wa kufadhili mfuko wa bima ya afya ya SHA kikamilifu. Haya ni kwa mujibu wa Ripoti mpya kutoka kwa taasisi kuhusu maswala ya uchumi nchini, inayosema kuwa uhaba mkubwa wa fedha unaendelea kuwa tatizo kuu katika kufadhili mpango huu wa afya kwa wote. Taasisi hii ikisema, serikali inahitaji bilioni 116 kufadhili mpango huu kikamilifu.