- 22 viewsWanafunzi zaidi ya 150 wenye mahitaji maalum katika shule ya Ndala Jobs outreach for the phyisically disabled wamepata afueni baada ya kupokea vifaa kutoka Taasisi ya Kenya ya Elimu Maalum (KISE), hatua inayolenga kuboresha ujifunzaji na kuongeza ushiriki wao katika elimu.