- 49 viewsTaasisi ya mafunzo ya matibabu KMTC imeimarisha mafunzo yanayotolewa kwa wauguzi ili kusaidia kukabiliana na visa vinavyoongezeka vya kina mama kuaga dunia wanapojifungua. Kozi za uuguzi za kiwango cha astashahada zinalenga wanafunzi kutoka kaunti zinazoathirika zaidi. Serikali za kaunti zinalenga kuajiri watu 1,544 kutoka kwa taasisi hiyo mwaka huu