Taasisi ya utafiti wa matibabu nchini KEMRI yatangaza chanjo mbili mpya za ugonjwa wa kifua kikuu

  • | K24 Video
    35 views

    Taasisi ya utafiti wa matibabu nchini KEMRI imetangaza chanjo mbili mpya za ugonjwa wa kifua kikuu kwa watoto na watu wazima. kulingana na kemri, chanjo hiyo ambayo inafanyiwa majaribio itatumika kwa muda wa miezi minne ikilinganishwa na hapo awali ambapo tiba za TB zilitumika kwa muda wa miezi 18. Wakati huo huo katika vita dhidi ya ugonjwa wa kifua kikuu, serikali imesema kuanzia mwezi ujao itawatengea fedha wahudumu wa kujitolea ili kuwapa motisha zaidi katika kuwasilisha tiba kwa jamii.