Taasisi ya wahandisi nchini yaandaa mashindano baina ya shule mbalimbali

  • | K24 Video
    44 views

    Katika harakati za kuandaa kizazi kijacho kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, taasisi ya wahandisi nchini kenya iliandaa mashindano baina ya shule mbalimbali katika shule ya Braeside jijini Nairobi. Watoto wa kuanzia umri wa miaka minne walionyesha ubunifu wao katika miradi tofauti