Skip to main content
Skip to main content

Tabasamu kwa wanafunzi wa shule ya msingi ya Mokowon kufwatia uzinduzi wa mradi wa maji

  • | KBC Video
    162 views
    Duration: 2:57
    Wanafunzi wa shule ya msingi ya Mokowon eneo la Chepareria, katika kaunti ya West Pokot, wana kila sababu ya kutabasamu baada ya chama cha akiba na mikopo cha Hazina, kupitia mpango wa huduma kwa jamii kuzindua mradi wa maji ili kuimarisha masomo katika eneo hilo. Mradi huo unalenga kuangazia uhaba wa maji. Mengi zaidi na mwanahabari wetu Ian Nzive. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive