- 8,385 viewsDuration: 48sTaifa linamuombopleza Mbunge wa zamani wa likuyani Enoch Kibunguchy. Kulingana na binamuye Justus Wekesa, Kibunguchy aliaga dunia usiku wa kuamkia leo akipokea huduma za matibabu katika hospitali moja ya kibinafsi mjini Eldoret baada ya kuugua kwa kipindi kirefu. Kibunguchy pia aliwahi kuwa mbunge wa Lugari kabla ya eneo hilo kugawanywa mara mbili na kubuni eneo bunge la Likuyani.