Skip to main content
Skip to main content

Taita Taveta: Watoto wenye ulemavu hawapaswi kufichwa — wanastahili elimu, usaidizi na fursa sawa

  • | TV 47
    115 views
    Duration: 5:27
    "Wazazi wengi huwaficha watoto wao wenye ulemavu, na hali hii inapaswa kubadilika ili watoto hao wapate haki zao za msingi, ikiwemo elimu na malezi bora. Vilevile, walimu wengi bado hawana ujuzi wa kutosha kuhusu namna ya kushughulikia na kufundisha watoto wenye mahitaji maalum, jambo linaloonyesha umuhimu wa mafunzo zaidi katika elimu jumuishi."- Mkazi, Taita Taveta #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __