Takriban watu 50 wameripotiwa kufariki kutokana na mvua

  • | Citizen TV
    1,463 views

    Mvua kubwa inayonyesha sehemu nyingi nchini imesababisha jumla ya vifo 50 kufikia sasa huku idara ya utabiri wa hali ya anga ikiwataka wakenya kujitayarisha kwa mvua kali zaidi. Maelfu ya wakenya wameachwa bila makao huku sasa viongozi wa makanisa wakilaumu serikali kuu na zile za kaunti kwa kutojipanga kuzuia athari.