Takriban watu milioni 6.6 Zimbabwe washiriki uchaguzi

  • | Citizen TV
    497 views

    Takriban watu milioni sita unusu raia wa Zimbabwe wanapiga kura hii leo kumchagua rais na wabunge baada ya kampeni zilizoshamiri kijoto cha mfumko wa bei ya bidhaa.