- 117 viewsDuration: 3:15Wanaoishi na ulemavu katika sehemu za mashinani wanakabiliwa na changamoto ya kutengwa katika jamii kutokana na mila na tamaduni potovu zinazoashiria kuwa ulemavu ni laana ama uchawi. Wengi wanaoathirika wanafichwa nyumbani, hali ambayo inawakosesha kusoma au kujumuika na jamii katika pilkapilka za maisha