Tamaduni ya ufugaji katika kaunti ya Samburu yaaminika kuanza baada ya wazee kufanya maombi

  • | Citizen TV
    67 views

    Jamii ya Wasamburu inapofahamika na wengi kutokana na sifa zake za Ufugaji, kitendawili kinachosalia kwa wengi ni walitoa wapi tamaduni ya Ufugaji wanaoenzi tangu zama za kale?