Tamasha ya kimataifa ya utamaduni Mombasa

  • | K24 Video
    9 views

    Kaunti ya Mombasa imesajili ongezeko la watalii katika msimu wa likizo ya Disemba huku mamia wakizuru tamasha ya kimataifa ya Mombasa katika eneo la mamangina water front kujionea tamaduni mbalimbali za jamii za wapwani ikiwemo vyakula, mavazi na burudani.