Tamasha ya maonyesho ya vitenge imeandaliwa Eldoret

  • | Citizen TV
    478 views

    Maandalizi ya Tamasha ya kusherehekea nguo za kitamaduni za kiafrika almarufu Kitenge yanaendelea Mjini Eldoret. Tamasha hiyo ya kitenge inalenga kuwahimiza wakenya kununua bidhaa na nguo zinazotengenezwa humu nchini kama njia moja ya kujitegemea na kuenzi utamaduni kama taifa.John Wanyama anaungana nasi mubashara akiwa katika hafla hiyo