22 Sep 2025 10:42 am | Citizen TV 315 views Duration: 1:54 Mamia ya wakazi wakiwemo vikundi vya jamii na wanamazingira katika Kaunti ya Nandi walijitokeza kuhudhuria tamasha ya kwanza ya ndege aina ya korongo kwenye maonyesho ya kipekee ya kitamaduni