Skip to main content
Skip to main content

Tamasha ya utamaduni Loiyangalani kaunti ya Marsabit

  • | Citizen TV
    2,705 views
    Duration: 4:32
    Onyesho la tamaduni kati ya Jamii tofauti zinazoishi kaunti ya Marsabit limeingia siku ya pili, hii Leo ikiwa ni zamu ya kila Jamii kuonyesha mapishi ya jadi, tiba na nyimbo za kiasili, ikiwa ni pamoja na simulizi Kutoka Kwa wazee wa Jamii. Mwandishi Kamau Mwangi amekita Kambi Loiyangalani na anatujia Moja Kwa Moja Kwa yanayojiri.