25 Sep 2025 1:16 pm | Citizen TV 10,128 views Duration: 1:11 Watu wawili wamepoteza maisha huko Juja kaunti ya Kiambu baada ya tangi la maji walilokuwa wakikarabati kuporomoka huku mfanyakazi mwingine akijeruhiwa vibaya.