Tanzania kuhakikisha wanariadha wake wanang'ara duniani.

  • | BBC Swahili
    250 views
    Jumuiya ya riadhaa imeweka mikakati ya kuhakikisha miaka kadhaa ijayo wakata upepo wake wanapeperusha vyema bendera ya Tanzania kama ilivyokuwa kwa mwanariadha Guaye ambaye hivi karibuni alitwaa nafasi ya pili kwenye mbio za kimataifa za Boston kule marekani. Lakini licha ya mipango mikubwa iliyopo miundo mbinu bado ni changamoto kubwa, Mwandishi wa BBC, @eagansalla_gifted_sounds_ ameandaa taarifa hii kutoka Arusha,Kaskazini mwa Tanzania #bbcswahili #tanzania #arusha