Skip to main content
Skip to main content

Tanzania kuwania nafasi baraza kuu la usalama UN

  • | BBC Swahili
    12,051 views
    Duration: 1:03
    Tanzania kuwania ujumbe usio wa kudumu baraza kuu la usalama la umoja wa mataifa mwaka 2029 - 2030, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameeleza nia hiyo ya Tanzania ikulu jijini Dar es salaam akiongea na waandishi wa habari wakati wa ziara rasmi ya kikazi ya siku moja ya Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi - - #bbcswahili #mısri #tanzania #umojawaafrika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw