Skip to main content
Skip to main content

Tanzania tunaifunga siku yoyote-Wanyama

  • | BBC Swahili
    4,033 views
    Duration: 1:18
    Victor Wanyama, kwa jina la utani ,'simba wa muthurwa' ni mchezaji kigogo wa kandanda kutoka Kenya, alikuwa nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya soka ya Kenya ,Harambee pstars - .Nyota yake iling'aa kimataifa katika klabu ya Celtic ya Uskochi,Southampton na Tottenham hotspur za Uingereza. - Sikiliza majibu yake hapa katika maswali ya chap chap aliyoulizwa na Bahajj Ahmed- - - #bbcswahili #kenya #soka #kandanda #harambeestars