Skip to main content
Skip to main content

Tanzania: Vyama vinavyoshiriki mchakato wa maridhiano vina ushawishi?

  • | BBC Swahili
    19,881 views
    Duration: 2:59
    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, alifanya kikao na viongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa kujadili mchakato wa maridhiano ya kitaifa na maandalizi ya mchakato wa marekebisho ya Katiba. Kikao kilichofanyika Ikulu kimeacha maswali mengi kuliko majibu. Wanaridhiana nini na nani? Je, vyama vilivyoshiriki vina ushawishi wa kutosha? Munira Hussein anaelezea haya kwa kini #bbcswahili #tanzania #maridhianotanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw