Tanzania yaaga mashindano AFCON

  • | BBC Swahili
    601 views
    Timu ya Taifa Stars imeyaaga mashindano katika mchezo ilioucheza usiku wa kuamkia leo ambapo ilikutana na DRC ambao wamefanikiwa kuvuna alama 1 na hivyo kujinyakulia alama tatu zilizowavusha katika hatua ya mtoano. Mwandishi wa BBC @frankmavura ameshuhudia mtanange huo uliopigwa katika uwanja wa Amadou Gon Coulibaly mjini Korhogo nchini Ivory Coast na kutuandalia Habari hii. #bbcswahili #tanzania #taifastars #DRC #afcon #soka #kandanda #ivorycoast Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw